Tuesday, 26 August 2014

KUELEKEA MKUTANO MKUU WA SVSC

Wanachama na wapenzi wa SVSC mnakumbushwa kwamba kutakuwa na mkutano mkuu  wa wanachama wote tarehe 30/08/2018 jumamosi saa 10:00 asubuhi baada ya mazoezi katika chumba cha Mikutano Chuo Kikuu ardhi eneo la Estates.

Agenda kuu ni kujadili na kupitisha marekebisho ya kanuni na katiba ya SVSC.  Wajumbe tunahimizwa kuhudhuria kwa wingi bila kukosa kwa ajili ya maendeleo ya timu yetu.
 Chakula na vinywaji baridi vitakuwepo

Katibu Mkuu 
SVSC

0 comments:

Post a Comment