Picha ya chini ni kikosi cha SVSC ambacho pia Bw. Bruce ni mchezaji katika timu hii. Mechi ilichezwa siku ya eid pili na matokeo yalikuwa 1-0 kwa timu ya SVSC kushinda goli likifungwa na Ally Mgaya.
Pia kila timu huwa haikosi "wazee wa busara" kwa mbali anaonekana katibu akiwa amejikinga mvua na mwamvuli, ila alipo simama mzee wa "busara" hakuna mvua kama picha inavyoonesha amekunja mwamvuli wake......
M/M/kiti Dr. Rasul akiwaeleza wachezaji na wanachama juu ya kumuaga mwanachama mwenzetu Bw Bruce Heilman anayemaliza muda wake, Pembeni kushoto ni Mhazini msaidizi Bw Benson na mzee harifa mwenye balaghashea wakisikiliza kwa makini.
0 comments:
Post a Comment