Monday, 8 September 2014

SURVEY VETERANS YAIBUGIZA AZAM VETERANS 5-4

Timu ngumu ya SVSC imeifunga timu ya Azam veterans katika uwanja wake wa nymbani kwa mabao 5-4.
Ilikuwa ni Azam waliotangulia kuzifumania nyavu za timu ya wapinzani wao.. lakini moto wa Survey Veterans uliwaka kipindi cha pili pale waliporudisha mabao yote na kuongeza la ushindi.

0 comments:

Post a Comment