Sunday, 16 November 2014

TANZIA

Mwenyekiti wa Survey Veterans Sports Club anasikitika kutangaza kifo cha mama mzazi  wa katibu mkuu SVSC Bw. Suleiman Mgaya na Mjumbe kamati ya ufundi Bw. ally Mgaya. kilichotokea  Alhamisi tarehe 13/11/2014 hapa jijini Dar es salaam na kusafirishwa kwenda kijijini kwao Kibindu wilaya  ya Bagamoyo kwa mazishi ambayo yalifanyika tarehe 14/11/2014
Mungu ailaze mahari pema peponi Roho ya marehemu mama yetu mpendwa
 Amen
Peter Mweta
Mwenyekiti SVSC

0 comments:

Post a Comment