Sunday, 16 November 2014

TANZIA

Mwenyekiti wa Survey Veterans Sports Club anasikitika kutangaza kifo cha mama mzazi  wa Mwanachama mwenzetu Bw Dulla kilichotokea  Jumatano tarehe 12/11/2014 Huko Mwanza.Bw. Dula amesafiri kwenda Mwanza kwa ajili ya msiba huo. Kama ilivyo ada na utaratibu wetu tumuombee na kumsaidia katika hali na mali katika kufanikisha msiba huu.
Mungu ailaze mahari pema peponi Roho ya marehemu mama yetu mpendwa
 Amen
Peter Mweta
Mwenyekiti SVSC

0 comments:

Post a Comment