Wednesday, 18 February 2015

MAZOEZI JUMAMOSI IJAYO YATAFANYIKIA MUDA WA SAA MOJA KAMILI.

Ndugu wanachama wa SVSC, mazoezi jumamosi hii yatafanyika kuanzia saa moja kamili asubuhi. Hii ni kutokana Bonanza la (Bar Footbal Bonanza ambalo litafanyika kuanzia saa tatu kamili.
TUNAHIMIZWA KUWAHI MAPEMA .
Ramadhani Bomba
Mwl SVSC

0 comments:

Post a Comment