Kwa mara ingine timu ya SVSC imelazimishwa sare ya goli 3-3 na timu ya Veterans ya Kigogo katika uwanja wake wa nyumbani. Magoli mawili ya Survey yalifungwa kwa mikwaju ya penati na Capt Msaidizi Ahmad Shaweji na goli la tatu lilifungwa na Dula.
Wednesday, 18 February 2015
SVSC YALAZIMISHWA SARE YA 3-3 NA KIGOGO TZF VETERANS
05:44
No comments
0 comments:
Post a Comment