![]() |
Wote tembea mbele..... |
![]() |
Wakiwa mazoezini |
![]() |
...Wote chini.... |
![]() |
Kiongozi wa Mazoezi Mahoka Said akiwaongoza wachezaji katika kujiandaa na mchezo |
![]() |
kutoka kulia, Athuman Kione, Rasul Ahmed,Musa Siwiti, Maulasa na Fransis Kiwanga wakifanya mazoezi mepesi kabla ya mchezo kuanza |
0 comments:
Post a Comment