Saturday, 14 January 2017

MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA CHRISTIMAS NA MWAKA MPYA

Mwenyekiti Bw. Peter Mweta kushoto na Bw. Suleiman Mgaya kulia wakipata chakula cha mchana siku ya boxing day

Kama ilivyo ada kila mwaka timu ya SVSC kuadhimisha siku hii kwa kula pamoja na kubadilishana mawazo na kupanga mikakati ya mwaka mpya. Timu hukutana pamoja katika Bar ya Etina ambapo ndiyo makao makuu ya club hii.

Wachezaji na wanachama wa SVSC wakipata chakula cha mchana


Bw David Kiganga na familia yake pia walikwepo

M/M/kiti akitoka kwenye foleni ya kuchukua chakula

"Niwekee kuku wawili "

Mhazini Dkt Shukia kulia na Frank Gaspar Kulia wakipata chakula cha mchana



0 comments:

Post a Comment