Saturday, 14 January 2017

WACHEZAJI WATATU WALIOSIMAMISHWA WAMALIZA ADHABU ZAO NA KUUNGANA NA TIMU


SVSC ni moja ya Timu za  Veterans ambazo nidhamu inatunzwa kwa hali ya juu sana. Lengo la Timu za veterans ni kwa ajili ya Michezo furaha na kusaidiana katika shuguli za kijamii. Kwa niaba ya Wapenzi na wanamichezo wa timu hii ya SVSC napenda kuwaahasa kupendana na kuheshimiana kama lilivyo lengo la timu yetu. Naomba umoja huu udumu na tuzidi kupendana

Peter Mweta
Mwenyekiti SVSC

0 comments:

Post a Comment