Michuano ya pasaka imeanza leo visiwani Zanzibar ambapoTimu ya SVSC imelazimishwa sare ya magoli 2-2 na timu ya JITIMAI FC baada ya mchezo mkali ulifanyika katika uwanja wa Aman mjini Zanzibar...


Wafungaji goli la kwanza captain PETER AMBROSE NGASSA na la pili BENSON MWEMEZI HAGAI
0 comments:
Post a Comment