 |
Wachezaji wa timu ya SVSC wakifurahia ushindi baada ya kukabidhiwa kombe lao. Kutoka baada ya kuifunga wazee Sports ya Visiwani Zanzibar. Kutoka kulia ni Peter Mweta (mwenyekiti),Mohamed Zengwe (Captain) Innocent Lyimo Mchaga, Malongo na Ally Mgaya. |
Timu ya SVSC imetete ubingwa wake baada ya kuifunga timu ya Wazee Sports Club goli 1-0 lilifungwa na mchezaji wa zamani wa Yanga Africans Steven Nyenge (Stevovo).
 |
Wachezaji wa Timu ya SVSC wakiwa na nyuso za furaha kabla ya mchezo katika uwanja wa Aman Mjini Unguja- Zanzibar. Kutoka kulia waliokaa, Osca Koby, Taliki, Richard Mbunda, Ally Mgaya, Mohamed Zengwe na Steven Nyenge. waliopiga magoti mstari wa kati kutoka kushoto, Hamis Shomary, Ahmed Shaweji, Jumanne, Malongo, Said Seif na golikipa Hatari Shaha. waliosimama kutoka kulia ni Peter ngasa, Peter Mweta, Benson Mwemezi, Faraji, Shaban Kambabhe, Innocent Lyimo, Bilauri na Mwalimu wa Timu ya SVSC Ramadhani Bomba. |
 |
Steven Nyenge akiwa amembeba Hamis Shomar wakifurahia goli huku Peter ngasa na Coby wakimkaribia ili kumpongeza, goli lililoleta ushindi kwa Timu y SVSC |
 |
Captain wa SVSC Peter Ngassa akikabidhiwa kombe la ubingwa na mgeni rasmi katika uwanja wa Aman Zanzibar |
0 comments:
Post a Comment