![]() |
Raha ya ubingwa.. Innocent Lyimo (Mchaga) akibusu kombe baada ya kukabidhiwa.... |
![]() |
Richard Mbunda na Tele kabla ya mchezo |
![]() |
Kipa hatari Shaha akiwajibika langoni mwake kuokoa michomo ya wazee Sports.... |
![]() |
Katibu Suleiman Mgaya akifuatilia kwa makini mchezo |
![]() |
Mlinzi hatari T. Bilauri na Peter Mweta wakiwa makini kuhakikisha wapinzani hawapati nafasi ya kutufunga... |
![]() |
Haikuwa kazi rahisi |
![]() |
Mchomo hata ukiokolewa na kipa hatari Shaha... |
![]() |
Benson Hagai akijaribu kumfunga golikipa wa Wazee Sports lakini shuti lake liliokolewa..... |
![]() |
Kiungo hatari Shaban Kambabhe akiwa mchozoni kuhakikisha anasambaza mipira..... |
0 comments:
Post a Comment