Friday, 20 April 2018

ALBERT SENGO NA Dkt. MWINYI OMAR WAFUNGAJI BORA WA MASHINDANO YA PASAKA 2018

Albert Sengo akipokea zawadi ya ufungaji Bora kutoka kwa Mkurugenzi wa Etina Bi Caty huku wachezaji na wapenzi wakifurahi pamoja nae. ...Hongera sana 
Dkt Omar Mwinyi akipokea zawadi ya ufungaji Bora kutoka kwa Mkurugenzi wa Etina Bi Caty huku wachezaji na wapenzi wakifurahi pamoja nae. ...Hongera sana 


Frank Gaspar Kushoto, Salom Mvule katikati na John Mbitu wakifurahi pamoja na mfungaji bora Dkt Mwinyi aliyeonesha zawadi yake aliyeipokea baada ya kutangazwa kwamba yeye ndiye mfungaji bora wa mashindano ya Pasaka 2018




Mkurugenzi wa Etina Bar and Restaurant Bi Caty akitoa zawadi za washindi tayari kwa kuwakabidhi.


0 comments:

Post a Comment