Mwenyekiti Survey Veterans Bw. Peter Mweta akiwahutubia wanachama na wapenzi wa Survey Veterans juu ya sherehe ya utoaji wa Zawadi kwa washindi wa mwaka 2017 na wafuNgaji bora wa mashindano ya pasaka ambapo Survey Veterans ilichukua kikombe kwa mara ya tatu mfurulizo
![]() |
Wwapenzi na wanachama wa SVSC wakimsikilizqa mwenyekiti aliyeshika Mike"( Luice tety kushoto, Chacha KIbago mwenye tshirt nyeusi, Innocent Lyimo mchaga mwenye t shirt ya orrange na wengineo |
![]() |
Mohamed Adam Zengwe" wa kwanza kushoto, M/Katibu Bw. Kambabhe wakimfuatilia kwa makini M/kiti |
![]() |
Jeff Tibenda kutoka kushoto, Richard Mbunda, John Mbitu Benteke", Dr Omary Mwiny na Mzee carlos Mvule, wakifuatilia hotuba ya Mwenyekiti |
0 comments:
Post a Comment