Kipigo kikali kutoka SVSC kiliwapelekea Timu ya Stop Over Veterans kumuomba mwamuzi waliekuja nae kumaliza mpira kabla muda wake baada ya kufungwa magoli 7-0. Magoli mawili yaliyofungwa na mshambuliaji hatari Musa siwiti, Magoli mawili yaliyofungwa na Peter Simon pamoja na magoli mengine matatu yaliofungwa na washambuliaji wengine, yalitosha kuwanyong'onyesha timu ya Mwanachama Mwenzetu bilauri T. na kuwafanya waondoke vichwa chini katika uwanja wa nyumbani wa SVSC,.
 |
Kutoka kulia: David Kiganga, Benjamin Magadula na James Kabambo kushoto kabla ya mchezo kuanza |
 |
Maandalizi kabla ya mchezo |
0 comments:
Post a Comment