 |
Picha: Kutoka Maktaba |
SVSC Katika uchovu mkubwa ikitokea kuwafunga Stop Over veterans magoli 7-0 na pia kwa huzuni kubwa walionayo baada ya mchezaji mwenzao Benjami Magadula kufiwa na mama yake mzazi, ilifungwa kwa taaabu sana na timu ya NSSF kwa magoli 3-0. SVSC iliyocheza vizuri muda wote, bahati haikuwa yao baada ya kupata nafasi nyingi ila mashuti ya washambuliaji wake hayakulenga goli na mengine yaliokolewa na golikipa wa NSSF ambaye alifanya kazi kubwa sana kuiokoa timu yake.
Picha zote kutoka maktaba ya Timu ya SVSC
 |
Kutoka kulia Shaban Seleman. Bilauli T na Edwin kabla ya mchezo kuanza |
 |
Kaptain wa Timu ya SVSC Mohamed Adam wapili kutoka kushoto akitoa maelekezo ya mwisho kuelekea mchezo |
 |
Jeff kulia na Edwin kushoto wakiwa katika chumba cha kubadilishia mavazi |
 |
Ekingo akitoka kwenye chumba cha kubadilishia mavazi tayari wa mchezo |
0 comments:
Post a Comment