![]() |
Kepteni wa Timu ya SVSC Adam Zengwe akitoa maelekezo ya mwisho kabla ya mchezo kuanza. |
Timu ya Msakuzi Veterans ilijikuta katika wakati mgumu pale ilipoamua kuingiza vijana ili kukwepa kipigo cha mbwa mwizi. Hadi tunaenda mapumziko ilikuwa ipo nyuma kwa magoli 3-0. Kipindi cha pili kilianza kwa Timu ya ya Msakuzi veterans kupata magoli mawili ya haraka haraka baada ya kutokea kutoelewana kwa mabeki wa Survey Veterans. Hadi mpira unamalizika matokeo yalikuwa magoli 5-5.
![]() |
Wachezaji wa timu ya Survey Veterans wakimsikiliza Mwalimu hayuko kwenye picha kabla ya mchezo kuanza |
![]() |
Kutoka kulia ni Weston Kipangula, Ally Mgaya, Joseph Mwasenga , Kuruzi wakimsikiliza mwalimu kabla ya mchezo kuanza. |
0 comments:
Post a Comment