Friday, 2 November 2018

MAPINGA VETERANS YALALA 4-1 MBELE YA SURVEY VETERANS

Wachezaji wa SVSC wakimsikiliza mwalimu hayupo pichana kabla ya mchezo kuanza

Pasi mbili matata kutoka kwa winga hatari, winga wa kuingia nazo Musa Siwiti zilizounganishwa na kiungo Abdallah ziliwafanya Survey Veterans kuongoza kwa magoli mawili ya dakika 15 za kwanza magoli mengine mawili yalifungwa na Edwin Ekingo ambapo aliunganisha kross  kwa kisigino ya mshambuliaji wa SVSC .Hadi mchezo unamalizika SVSC $- na Mapinga Veterans 1












0 comments:

Post a Comment