![]() |
Baada ya mchezo kumalizika katika uwanja wa BBV sherehe iliendelea katika ukumbi wa Maendeleo Bar wanaoonekana kwenye picha ni wachezaji mchanganyiko wageni na wenyeji. |
![]() |
Supu ililiwa kama kawaida pamoja na vinywaji laini..... |
![]() |
Kama kawaida vinywaji vigumu vilikwepo na wachezaji waliendelea kufurahi kwa pamoja.... |
![]() |
David Kiganga kushoto na Idd Ngaoneka wakiendelea na supu huku viburudisho vikionekana kwa mbalaaaali...vikileta maji ya kunawa na kuondoa mabakuri hahahahahahah!!!! |
0 comments:
Post a Comment