Monday, 17 December 2018

ILIKUWA ZAMU YA ULINZI VETERANS

Kikosi cha Ulinzi veterans kabla ya mchezo kuanza

Timu changa ya Ulinzi Veterans inayoundwa na maofsa wa jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania walijikuta katika wakati mgumu katika uwanja wao wa nyumbani Lugalo pale walipokubali kichapo cha magoli 2-0 kutoka timu kongwe ya Survey Veterans. Pasi mujarabu kutoka kwa Chacha Kibago ilimkuta winga hatari Musa Siwiti na kuukwamisha wavuni kutengeneza goli la kwanza na goli la pili lilifungwa na Albert Sengo.

0 comments:

Post a Comment