![]() |
Timu ya SVSC wakifanya mazoezi mepesi kabla ya mchezo kuanza. |
![]() |
Captain Peter Ngasaa kushoto wakijadiliana nani wa kuanza mpira katikati ni Dr. Tiboroa ambaye alikuwa refaree wa mchezo. |
![]() |
Vidume vilivyoshereshea mchezo huo wakimsikiliza msemaji wa timu ya upinzani baada ya mchezo kumalizika. |
![]() |
Ushindi raha....Baada ya ushindi wa mchezo wa leo. Bw. Frank Gaspar akijipongeza na Castle light baridiiii.... |
Duh..... Haka kabia katamu.....
0 comments:
Post a Comment