Wednesday, 2 January 2019

TIMU BOMBA YAIFUNGA TIMU ZENGWE FAINALI ZA MWAKA MPYA.

Baada ya mchezo kumalizika na Timu Bomba ikiwa imepoteza mchezo, Mwenyekiti Peter Mweta kushoto  akimfariji Osca Coby baada ya mchezo kumalizika.
Gooooooooo!!!!!!!!!!
Timu Bomba wakimsikiliza mwalibu Bomba hayupo pichani kabla ya chezo kuanza
Golikipa alipata taabu sanaaaaa.....
 
Timu BOMBA katika picha Kabla ya mchezo kuaza. Ambapo iliifunga timu Zengwe kwa Magoli 5-4













0 comments:

Post a Comment