Wednesday, 2 January 2019

TIMU ZENGWE NDEMBENDEMBE

Timu ZENGWE kabla ya mchezo kuanza. Kutoka kulia mstari wa mbele, Mzee Kasim, Michael, Mwandumbya golikipa, Hemed Mjapenga, Mzee Salum Mvule, Mchaga Innocent Lyimo, Osca kobi. Waliosimama kutoka kulia ni Edwin Ekingo, Kisanga, Ahmed, Simbaulanga, Innocent Mido,Hamad Shaweji,Dk mwinyi na Albart Sengo.
Timu ZENGWE ilijikuta katika wakati mgumu sana pale ambapo hadi kipindi cha kwanza ilikuwa inaongoza kwa goli 4-1 lakini hadi kipyeanga cha mwisho kinapulizwa na ferarii ilikuwa imefungwa magoli 5-4.








Zengwe akitoa maelekezo ya mwisho kabla ya mchezo kuanza


0 comments:

Post a Comment