Timu iliyosheheni wachezaji wa timu ya Taifa yaTanzania na vilabu vikubwa Tanzania na nje ya nchi ilijikuta katika wakati mgumu pale ilipolazimishwa sare ya goli 1-1 n a Timu ya SVSC. Mchezo ulikuwa mzuri na wenye vionjo vingi na ufundi mwingi. Galacticos ndiyo ilikuwa ya kwanza kupata goli kupitia kwa mchezaji wao hatari Philip Alando na baadae timu ya SVSC ilisawazisha kupitia mpira wa adhabu uliopigwa kwa ufundi na Kelvin ambaye aliwahi kuchezea Simba Sports Club na kumuacha kipa spear Mbwambo akiwa hana la kufanya.
 |
Winga hatari Weston Kipangulakatika harakati mchezoni |
 |
Mfungajiwa goli lakusawazisha la Survey Veterans Steven |
 |
Musa Siwiti Katika harakati za kugombea mpira na Albert Sengo |
 |
Peter Simon katika harakati za kutaka kumtoka mlinzi wa Galacticos |
 |
Golikipa wa Galacticos PSpia Mbwembwe akilinda lango lake kwa michomo ya SVSC |
 |
Mlinziwa SVSC Peter Ndossa akiwa makini kumzibiti winga hatari wa Galacticos asilete madhara |
0 comments:
Post a Comment