Wednesday, 27 February 2019

MATUKIO YA PICHA BAADA YA MCHEZO KUMALIZIKA


M/kiti wa SVSC Bw. John Mbitu akifurahia jambo alipokuwa akiwakaribisha wageni katika Bar ya Migombani.
Baada ya mchezo kumalizika kati ya SVSC na Galacticos. wageni walikaribishwa katika Bar ya Migombani kwa ajili ya viburudisho kama matukio yanavyoonesha


































Add caption

Mwenyekiti John Mbitu akiwa na Mwenyekiti mwenza wa Galacticos wakipata kinywaji na supu.


0 comments:

Post a Comment