Thursday, 20 June 2019

MICHEZO YA BONANZA MKOANI DODOMA.


Timu ya SVSC ilicheza michezo mitatu mchezo mmoja tulicheza na Dodoma Veterans na matokeo yalikuwa 2-2 na Mchezo wa pili SVSC ikafungwa kwa taabu sana na Mwanza Veterans kwa magoli 4-1


Wachezaji wa akiba.Kutoka kulia Innocent Lyimo, Meshack Mponda, Peter Ngassa Samwel Ntakamulenga na Godon 

Benchi la ufundi na wachezaji wa Akiba wakifuatilia mchezo kwa makini. Kutoka kulia ni Captain Peter Ngasa, Mchezaji mwalikwa Samwel Ntakamulenga, Godon Chiggs, Pius, Mh Ridhiwan Kikwete, Said Seif


Mwenyekiti John Mbitu kulia, Mh Ridhiwani Kikwete, Chiggs na Ndomoki mstari wa nyuma aliyesimama ni Sports Lady Detah

0 comments:

Post a Comment