Thursday, 20 June 2019

SURVRY VETERANS SAFARINI DODOMA

Winga hatari Weston Kipangula akiwa siti ya mbele ili awahi kufika jijini Dodoma......

Timu ya Survey Veterans inasafiri leo kuelekea Makao Makuu ya nchi Dodoma kwa ajili ya kushiriki Bonanza lililoandaliwa na Dodoma Veterans. Timu iliondoka na Mwenyekiti wa Timu Bw. John Mbitu pamoja na viongozi wengine wa timu.
Captain Peter Ngasa aliyesimama, akitoa maelekezo kabla ya safari kuanza.

Benson mwemezi kulia na Sparon Ngassa wakisubiri usafiri uwapitie tayari kwa safari ya Dodoma.

Vinywaji vilikwepo vya kutosha…..

Mwenyekiti John Mbitu akiwa na Mwenge wake taratiiiibu…. Safari ilikuwa nzuri

Dada Detah naye alikwepo safarini.



Shah Pelee…..kama kawa kama dawa…...Dodoma moja

Hapo sasa…… Nyama zilipata tabu sanaaaa… Dada Detar akionjeshwa nyama huku Weston akimwangalia kwa karibu

Huku Nyama mkononi bia…. Mwenyekiti SVSC







0 comments:

Post a Comment