Wednesday, 10 July 2019

CHAKULA CHA MCHANA BAADA YA MECHI

Wachezaji wa SVSC wakisubiri chakula baada ya mchezo kumalizika....



Mwenyekiti Bw, John Mbitu kulia na Mwl Bomba wakipata chakula cha mchana baada ya mechi.

Dada Detah pamoja na timu wakipata chakula cha mchana......




Baada ya kutoka Mapinga timu ilipata chakula cha mchana kwa pamoja kama matukio ya picha yanavyoonesha..

0 comments:

Post a Comment