Wednesday, 10 July 2019

MAPINGA VETERANS YALIPIZA KISASI KWA SVSC

Timu ya SVSC kabla ya mchezo kuanza. Kutoka kulia mstari wa mbele ni Jummanne, Hamis Shomari, Kobi, Iddi Kaoneka, Samweli mbaga, Kilibe, Michael Simbaulanga, John Mbitu, Peter Ngassa, Abdala Hassan. waliosimama kutoka kushoto ni Sha Pelee, Mwalimu Bomba, Innocent Lyimo, Peter Ndossa, Momo, Innocent Kuzengwa, Salum Mvule, Carlos, na Shev

Timu ya Mapinga Veterans ya Mapinga mkoani Pwani Wilaya ya Bagamoyo iliwafunga timu ya SVSC kwa magoli 4-2 katika uwanja wake wa nyumbani. wakicheza katika uwanja wao wa nyumbani wenye urefu wa M140 na mabonde mabonde, iliwachukua dakika 18 kupata goli la kuongoza kupitia washambuliaji wao. Magoli ya Survey Veterans yalifungwa na Sha Pelle na lingine lilifungwa na mchezaji mwingine.
Kabla ya mchezo kuanza


Safu ya ulinzi, Michael na Peter Ndossa



Hamis Gaga kulia na Caarlos kabla ya mchezo kuanza


0 comments:

Post a Comment