![]() |
Winga hatari Musa Siwiti muda mfupi kabla ya mchezo kuanza |
![]() |
Beki hatari ikipasha misuri moto kabla ya mchezo kuanza |
![]() |
Beki visiki Ahmed na Dkt Kibasa wakipasha misuri moto kabla ya mecho kuanza |
![]() |
Kutoka kulia James Kabambo, Bilauli na Kiganga kabla ya mchezo |
![]() |
Captain Ngassa akipasha misuri moto kabla ya mchezo kuanza |
![]() |
Winga ya kuingia nazo" Mbunda akipasha misuri moto kabla ya kchezo kuanza.... |
![]() |
John Mbitu "Benteke" akipasha msuri moto kabla ya game kuanza..... |
![]() |
Kwenye maandalizi ya mwisho. |
0 comments:
Post a Comment