![]() |
Innocent Lyimo na Frank G mwenye Kibagalashia wakipata chakula katika sherehe hiyo |
![]() |
Mwenyekiti kulia na Aaron Nyanda wakipata chakula |
![]() |
Dominic Mbwete na wanawe wakipata msosi |
![]() |
Captain Ahmad pamoja na wanachama wengine wakipata msosi |
![]() |
Katibu mkuu Suleiman Mgaya na watoto wake wakipata chakula |
![]() |
Captain Mohamed Zengwe na Bakuza wakiwa katika foleni ya chakula |
![]() |
Bunyabunya Shamakala akigawa chakula |
![]() |
Benson Mwemezi akipakua chakula |
![]() |
wadau wakipata chakula |
![]() |
"Kula mwanangu" Katibu akimpa mtoto wake chakula katika sherehe hiyo |
![]() |
"Blogger kazini" Pia akipata msosi katika sherehe hiyo |
![]() |
Musa Siwiti, Benson Hagai katikati na Mohamed Zengwe wakipata msosi |
0 comments:
Post a Comment