Timu ya BBV ilijikuta katika wakati mgumu pale ilipolazimishwa sare ya magoli 3-3 na timu Kisiki ya veterans mkoa wa Daresalaam na nchi nzima kwa ujumla. BBV ikiwa mbele kwa magoli 2 hadi kipindi cha pili ilijikuta katika wakati mgumu pale Benson Mwemezi akipokea pasi murua kutoka kwa Dr. Shukia alipoandikisha bao la kwanza kabla ya Iddy ngaoneka na Hasan Mussa kukamilisha sherehe hiyo.
![]() |
Timu ya BBV katika ukaguzi kabla ya mchezo kuanza. Captain wa SVSC Peter Ngassa kushoto kwa Mwenye kitambi kikubwa alichezea timu ya BBV. |
![]() |
Wachezaji wa timu ya SVSC wakisalimiana na wachezaji wa BBV kabla ya mchezo kuanza. |
![]() |
Mwl Ramadhani Bomba akisalimiana na wachezaji wa BBV kabla ya mchezo kuanza. |
![]() |
Kaptain wa SVSC akisalimiana na waamuzi huku kaptain wa Timu ya BBV akiangalia kwa makini. |
![]() |
Captain wa mchezo Carlos Salum wakijadiliana na waamuzi kabla ya mchezo kuanza |
![]() |
Mwl Bomba mwenye Jezi ya Manchester akifuatilia mchezo kwa makini |
![]() |
Benchi la Timu ya SVSC wakiwa makini kufuatilia mchezo. |
0 comments:
Post a Comment