Zikicheza katika uwanja mdogo wa Taifa (Shamba la Bibi) timu ya Twalipo Veterans ilijikuta katika wakati mgumu baada ya kuongoza kwa magoli 4-0 hadi kipindi cha kwanza kumalizika. Timu zote zilifanya mabadiliko na timu ya SVSC mabadiliko yake yalionekana kuwa na manufaa zaidi pale walipopata magoli mawili ya haraka ambapo goli la kwanza lilifungwa kwa mkwaju wa penati na Peter Mweta baada ya Paschal Fumbuka kufanyiwa madhami katika eneo la hatari na goli la pili lilifungwa na Peter Simon baada ya kupokea pasi kutoka kwa Peter Mweta. Alikuwa Peter Simon Tena aliyefunga goli la tatu baada ya kupokea pasi kutoka kwa winga hatari Musa Siwiti . Goli la nne walijifunga wenyewe baada ya kutokea piga nikupige langoni mwao. Mpira ukawa umeisha kwa matokeo ya 4-4.
 |
Peter Ndosa Kulia, T. Bilauri katikatina Peter Simon wakipasha misiru moto kablaya mchezo kuanza |
 |
Peter mweta, kulia na Joseph Mwasenga kablayamchezokuanza |
 |
Beki lenyemisuri likipasha misuri moto kablaya mchezo kuanza |
 |
Mwenyekiti Mr. John Mbitu mwenye gongo akiwashukuru wenyeji baada ya mchezo kumalizika salama kulia ni Mwalimu Bomba na wachezajiwengine wakisikiliza kwa makini. matokeoyalikuwa 4-4 |
 |
Mwenyekitiwa Twalipo Veterans akiwashukuruwachezaji wa SVSC pamona kutoa neno la shukrani kwa mchezo mzuri. |
0 comments:
Post a Comment