Wednesday, 3 April 2019

MUWAKO PUB KWAWAKA!!!


Wapenzi na wanachama wa Survey Veterans walikusanyika katika sehemu ya Biashara ya mwanachama mwenzetu Bw. Weston Kipangula (MC) kwa ajili ya Supu pamoja na nyama choma. Burudani ambayo aliiandaa kwa ajili ya wanachama wenzake kwa ajili ya kumuunga mkono kwenyebiashara yake. Shughuli iliienda vizuri ikiongozwa na Mwenyekitiwa SVSC Bw. John Mbitu pamoja na wanachama wengine.























0 comments:

Post a Comment