Pub hii iko maeneo ya Makongo DTV. Ni Pub inayouza vinywaji vya aina zote na ina wahudumu warembo na wanaofanya kazi zao kwa weredi mkubwa. Tafadhari tembelea Pub hii kwa vinywaji baridi na moto.Pia kuna nyama mbuzi choma, kuku choma, supu za aina zote na michemsho mbalimbali.
0 comments:
Post a Comment