![]() |
…..Dada tena akutana na Bw. Ekingo……. |
![]() |
Bw. Ekingo akimwangalia dada Detah kwa jicho la husda huku Dada Deta akiachia tabasamu kwa mbaaaali...Ilipendeza sanaaaaa |
Sherehe za Idd zilimkutanisha Bw. Ekingo Ekingo na dada Detah, kwa kweli ilikuwa furaha sana kama picha zinavyoonesha…..
0 comments:
Post a Comment