Tuesday, 15 October 2019

BONANZA TANGA: ARUSHA ALL STAR YALALA KWA 3-1 MBELE YA SURVEY VETERANS



Mchezo wa pili dhidi ya Arusha All Star walikubali kichapo cha magoli 3-1 Magoli yaifungwa na Kelvin, Ngasa na Sisse.

Nahodha wa Survey Veterans Peter Ngassa akimiliki mpira na mchezaji wa Arusha all Star akifuatia kwa karibu.. Arusha ililala kwa magoli 3-1.




0 comments:

Post a Comment