Tuesday, 15 October 2019

SURVEY VETERANS YALALA 2-0 MBELE YA TPDC

Winga hatari Musa Siwiti akiwindwa na mabeki watatu wa timu ya TPDC katia mchezo uliofanyika katika uwanja wa TPDC .

Ikichezesha vijana badala ya Veterans Timu ngumu ya SVSC ilifungwa wa tabu na timu ya TPDC. Ilibidi wasubiri hadi kipindi cha pili kupata magoli baada ya mchezo mzuri uliooneshwa na SVSC.




Sha- Pelle akiwa katika kumiliki mpira mbele ya mabeki wawili wa TPDC  katika mchezo ambapo SVSC ililala kwa 2-0

Revis akimiliki mpira huku John Mbitu aimwekea ulinzi kuhakikisha haupotei .....alikuwa man of the March. aliupiga mwingi sanaaaaaaa....

0 comments:

Post a Comment