Tuesday, 15 October 2019

BONANZA TANGA: SVSC YALAZWA 2-1 NA KOROGWE VETERABS

Mvua kubwa....Hivi ndivyo ilivyokuwa... Kiungo hatari na Naodha wa timu ya SVSC Peter Ngassa akimsaidia Kelvin Haule mwenye  mpira katika mechi ilikuwa iichezwa kwenye uwanja uliojaa maji.

Mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha mkoani Tanga ilisababisha uwanja kuwa katika hali mbaya na kupelekea SVSC kufungwa magoli 2-1 kwa Tabu sanaaaa


Kelvin haule  Mwenye jezi namba 31 wa SVSC akiwa amekusanya kijiji kuelekea golini kwao

....Gooooooool. Kelvin Haul wa SVSC akiifungia goli timu ya SVSC

Kikosi kilichocheza mechi ya kwanza dhidi ya Korogwe Veterans.. kutoka kulia waliosimama ni Salum Mvule, Peter Ngasa, Michael Simbaulanga, Mohamed Adam (Zengwe), Momo Sisse, John Mbitu, "Kabaye", Kelvin Haule walioinama mstari wa mbele kutoka kushoto ni Idd Ngaoneka ( Mnyama), Hamisi Shomari (Gagarino), Samweli Mbaga golikipa, Kilibe soso, Peter Ndosa na Ahmad Shaweji.





0 comments:

Post a Comment