Wednesday, 12 August 2015

MATUKIO YA PICHA MKOANI MOROGORO KATIKA BONANZA LA NANE NANE

Katibu Mkuuwa SVSC Bw, Suleiman Mgaya,kulia, Kiganga kushoto, Capt Ngassa mwenye jezi ya bluu na Iddi Ngaoneka (mnyama) wakipata kifungua kinywa katika hotel ya Mount Uruguru ambapo timu ilifikia hapo.

Musa Siwiti Kulia,(Blogger) Benson Mwemezi (Mhazini Msaidizi, na  Mwalimu wa Timu Bw, Ramadhani Bomba wakipata kifungua kinywa katika hotel ya Mount Uruguru

Said Mahoka mwenye Bag mgongoni, David Kiganga mwenye pensi, Musa Siwiti mwenye T shirt nyeusi aliyekaa, Capt Ngassa mwenye jezi ya bluu , Benson Mwemezi mwenye T shirt ya rangi nyeusi na nyekundu na Mwalimu wa Timu ya SVSC Bw, Ramadhani Bomba wakipata kifungua kinywa katika hotel ya Mount Uruguru



0 comments:

Post a Comment