Wednesday, 12 August 2015

MATUKIO YA PICHA MKOANI MOROGORO KATIKA BONANZA LA NANE NANE

Winga hatari Musa Siwiti kushoto, Carlos Beki kitasa,katikati na  Benson Mwemezi kushoto kabla ya mechi.

Dkt,Ngasamiaku kulia msari wa nyuma, Capt Ngasa kulia mbele , Carlos mdogo katikati , Musa Siwiti kushoto na Benson Mwemezi nyuma kushoto na Lila katikati nyuma kabla ya mechi

Golikipa wa mashindano Ramadhani mbele, Capt Peter ngasa,kushoto, Carlos, Musa, Benson na Richard lila kabla ya mechi


Capt Peter ngasa kulia, Golikipa Ramadhani, Katibu Suleiman Mgaya, Machota, Shabani Kambabhe , David Kiganga , Dominic Mbwete wakiwa katika jezi ya ushindi kabla ya mechi kuanza.

Iddy Ngaoneka aliyeinama kushoto, Capt Mohamed Adam, David Kiganga, Shaban Kambabhe na Machota kabla ya mechi

KIKOSI KAMILI CHA SURVEY VETERANS KIKIWA KATIKA JEZI YA USHINDI KABLA MECHI

Winga hatari Shabani K. akipasha misuri moto kabla ya mechi kuanza

Dominic Mbwete na Machota kabla ya mechi kuanza.


Wakati wa mapumziko Carlos akitoa maelekezo kwa wachezaji wenzake

Mwl Bomba akitoa maelekezo ya mwisho kabla ya mchezo kuanza.


Musa Siwiti , Benson Hagai na Golikipa na Machota  wakimsikiliza mwalimu hayupo pichani kabla ya mechi kuanza. 

 Kikosi kilichopeleka maangamizi katika timu ya Morogoro Veterans kutoka kulia walioinama, Dkt Ngassa miaku Kiongozi, Idd Ngaoneka, Suleiman Mgaya , Musa Siwiti, Golikipa Ramadhani, Richard Kokoro, Capt Mohamed Adam Gabriel Madenge na Mahoka Said, waliosimama kutoka kushoto ni Kocha mkuu Ramadhani Bomba, David Kiganga, Benson Mwemez, Carlos Sylvesta, Machota, Peter Ngassa, Shabani Kambabhe, Syeven Nyenge na Domin Mbete wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa mwisho 



0 comments:

Post a Comment