Baada ya mchezo wa kuadhimisha siku hii muhimu, kulikuwa na sherehe iliyoandaliwa na wanachama kwa ajili ya kumpongeza mwalimu kwa kazi kubwa anayoendelea kuifanya katika timu. MATUKIO YA PICHA ANAONESHA,
![]() |
David Kiganga akifungua champagn kuashiria kuanza kwa sherehe hiyo. |
![]() |
Peter Ngassa (Capt) kushoto,John MBitu katikati na Misheki kulia wakifuatilia kwa makini malezo ya Katibu. |
![]() |
....Kaimu Mhazini Benson Mwemezi kulia na Capt Adam Zengwe wakisikiliza hotuba ya Katibu .... |
![]() |
Ramadhani Bomba kushoto akitoa neno la shukrani kwa wapenzi na wanachama wa SVSC hawapo pichani katika siku ya kuadhimisha siku ya Bomba Day huku M/M/kiti Dkt Rasul akifuatilia kwa makini. |
![]() |
Ikafika muda wa msosi kama ambayo katibu Suleiman Mgaya , Joseph Mwasenga wanagonga Menu. |
![]() |
John Mbitu, Hgai, Misheki na wengine wakiwa wanapata Menu |
![]() |
Ramadhan Bomba ambaye ilikuwa siku yake muhimu akipata msosi |
![]() |
Dkt Rasul akipata msosi siku ya Bomba Day |
![]() |
.....KIMEISHA...... |
![]() |
Blogger Musa Siwiti alikuwa Kazini kuhakikisha Mambo yote yanarekodiwa kwa usahihi na kuingizwa katika blog ya Timu... |
![]() |
Blogger wa Timu Musa Siwiti kushoto, Ahmad Shaweji katikati na Mahoka wakiwa wanapata Msosi katika siku ya Bomba day |
0 comments:
Post a Comment