Wednesday, 28 December 2016

SURVEY VETERANS YANG'ARA MKOANI TANGA

Mpira kazi!! Beki timu ya Upinzani akimsukuma Iddy Ngaoneka huku Beki hatari Shukia akiwa tayari kuondoa mpira katika eneo la hatari Baadhi ya wachezaji waliosafiri na timu mkoani Tanga; kutoka kushotowaliokaa Franka Gaspa, Said Seif. Waliosimama kutoka kushoto; Ahmad Shaweji, Peter Ngassa,Richard Shukia,Iddy Ngaoneka,Mohamed Adam,Steven Nyenge,Emmanuel Ekingo na Ally Mgaya. ...

SURVEY VETERANS YAFANYA VIZURI MICHEZO YA BONANZA TANGA

Steven Nyenge (stevovo) akiuweka mpira kwenye imaya yake huku Arbart Sengo akimsogelea kwa msaada huku Ekingo na Mohamed Zengwe wakiwa wanawalinda wachezaji wa upinzani wasilete madhara. SVSC walishinda 2-0 Dah.... Game tight... Ally Mgaya kushoto anaonesha anamwambia Kept Peter Ngasa kulia .....Unaweza ukafa......Mohamed Adam akiwa amechoka baada ya mchezo kumalizika na SVSC kushinda 2-0  Ally Mgaya kushoto na Richard Shukia...

Monday, 19 December 2016

KAWE VTERANS YALAZIMISHA SARE KWA SURVEY VETERANS

Timu ya kawe Veterans ilijitahidi kulazimisha sare ya bao 3-3 baada ya mechi kali ya kirafiki iliyopigwa uwanja wa Survey. ...

Saturday, 13 August 2016

NSSF VETERANS YAPIGWA GOLI 2-1 NA SURVEY VETERANS KATIKA UWANJA WA JK PARK

Timu ngumu mkoa wa  Dar es salaam Survey veterans  jana ilipeleka kilio tena kwa wenzao wa NSSF Veterans walipojaribu kujiuliza tena baada ya mechi ya awali kutoka sare na SVSC kwa kuwafunga bao 2-1. Pasi nzuri kutoka kwa foward hatari Benson Mwemezi ilimfikia Winga hatari Musa Siwiti na kuukwamisha mpira wavuni na kuandika bao la kuongoza katika dakika 15 ya kipindi cha kwanza.Pia winga hatari Musa Siwiti nusura aipatie SVSC bao la pili...

TIMU YA SURVEY VETERANS YASHINDA GOLI 2-1 MICHUANO YA 88 MKOANI MOROGORO

Mchanganyiko wa Timu ya SVSC na Reli Veterans kabla ya mchezo kuanza Timu ya Survey Veterans ilifanya ziara ya kimichezo mkoani Morogoro na kucheza mechi ya kirafiki na Timu ya Reli Veterans ya Morogoro na kuifunga goli 2.-1. Hadi timu zinaenda mapumziko Timu ya Reli Veterans ilikuwa inaongoza kwa goli 1-0. Goli la kusawazisha lilifungwa na Godwin ekingo na goli la pili na la ushindi lilifungwa na Captain Peter Ngassa baada ya kuiadaa ngome ya...

Sunday, 29 May 2016

SURVEY VETERANS SPORTS CLUB YAFANYA ZIARA YA KIMICHEZO JIJINI MBEYA

SURVEY VETERANS SPORTS CLUB YAFANYA ZIARA YA KIMICHEZO JIJINI MBEYA Kikosi kamili kilichowakilisha Mbeya kutoka kulia walioinama, Osca Mwambungu,Mohamed Adam (Captain) Ahmed Shaweji,Suleiman Mgaya,Innocent Lyimo na Benson Hagai. kutoka kushoto waliosimama, Dkt Rasul Ahmed,Arbet Sengo,Steven Nyenge,Peter Mweta na Ramadhan Bomba (Mwalimu wa Timu) Timu ya mpira wa miguu ya Survey Veterans Sports Club imefanya ziara ya michezo ya kirafiki jijini Mbeya...