Saturday, 26 March 2016

TIMU BOMBA KATIKA MAANDALIZI YA MWISHO KABLA YA MCHEZO

TIMU BOMBA KATIKA MAANDALIZI YA MWISHO KABLA YA MCHEZO


Timu Bomba iliyochaguliwa kwa ueledi  mkubwa na Mwl Bomba, ilitosha kuwatoa jasho timu Zengwe iliyochaguliwa kwa Zengwe kubwa, iliwachukua dk 15 timu Bomba kupata goli kwa shuti kali lililopigwa na Kiganga na kugonga mtambaa panga na kutinga wavuni.

0 comments:

Post a Comment