![]() |
…...Pale mpiga picha anapopigwa picha…. Bw, Jephet Tibenda akiwa kazini…. Hogera sanaaaaa |
Timu ya SVSC imebarikiwa kuwa na vipaji bora kama wapiga picha. Kwa mwaka wa 2018 Bw. Japhet Tibenda alikuwa mpiga picha bora kama anavyoonekana
![]() |
Mpiga picha bora akiandaa mtambo wake kabla ya kuingia kaazini |
0 comments:
Post a Comment