![]() |
Mwenyekiti SVSC akimkabidhi Bw. Michael Simbaulanga cheti cha nidhamu huku mwenyekiti mstaafu akishuhudia kwa karibu. Tunampongeza sana….. |
Kila mwaka timu ya SVSC huchagua mchezaji mwenye nidhamu nje na ndani ya mchezo. Kwa mwaka 2018 Bw. Michael Simbaulanga amechaguliwa na kamati maalumu kwamba yeye ndiye mchezaji mwenye nidhamu kwa mwaka 2018. Tunampongeza sanaaaa.
0 comments:
Post a Comment