Timu ya Wazee Soprts Club (WSC) kutoka Zanzibar imewasili leo tarehe 30/3/2018 kutokea Zanzibar kwa ajili ya michuano ya Pasaka. Wenyeji wa michuano hii ni timu ya Survey Veterans yenye Maskani yao Mjini Dar es salaam maeneo ya Survy ambao ni mabingwa Mara mbili wa michuano hii..
Baada ya kuwasili majira ya saa tatu asubuhi, walifikia katika hotel ya Meeda iliyopo Sinza, na baadae jioni saa mbili walicheza mechi yao ya kwanza na Timu ya Boko Veterans katika uwanja wa Boko Veterans Maeneo ya Boko ambapo matokeo yalikuwa ni 3-3.
0 comments:
Post a Comment