
Timu ya Wazee Sports Club wakiwa wamechanganyika na wenyeji wao Survey Veterans wametoka sare ya kufungana magoli 2-2 na Timu ya Tanzania Stars ambayo inaundwa na wachezaji wa zamani wa timu ya taifa na vilabu vikubwa nchini Tanzania. Mchezo uliochezwa katika uwanja wa nyumbani wa Survey Veterans (OT) uliopo chuo kikuu Ardhi.
 |
Wachezaji wa Timu ya Tanzania Stars wakifanya mazoezi kabla ya mechi kuanza |
 |
John Mbitu akiwa na kaka yake kabla ya mchezo kuanza |
 |
Mchanganyiko wa Wazee Sports na SVSC wakifanya mazoezi kabla ya mchezo kuanza |
 |
Timu ya wazee na Survey Wakiwasalimia Tanzania Stars kabla ya mchezo kuanza |
Mchezo ulikuwa mzuri na wakiistarabu kwa kuzingatia umri na aina ya wachezaji walioshiriki katika mchezo huu.
0 comments:
Post a Comment