Kabla ya mechi ya fainali kulikuwa na mechi ya utangulizi iliyopigwa
kati ya Wachezaji wenye umri zaidi ya miaka 50 kwa kila timu ambapo
wazee Sports walishinda kwa magoli 2-1
![]() |
John MBitu (Benteke) katika maandalizi ya mchezo wa utangulizi |
![]() |
Kutoka kulia Dr. Rasul Ahmed, Pius na Bruce Herman wakipasha misuri moto kabla ya mchezo wa utangulizi ambazo SVSC ililala lwa mabao 2-1 |
0 comments:
Post a Comment